Habari za leo waheshimiwa! Natumaini kuwa ni wazima wa afya. Samahani sana mimi naomba kujuzwa kama kuna apps ambazo unaweza kuweka kwenye simu (android) zikawa na uwezo wa kutunza kumbukumbu...
Wadau ukihitaji huduma ya kupata Channel Zote zinazoonyeshwa na DSTV kwa gharama ya Tsh. 200,000/= tuwasiliane. Furahia Ulimwengu wa DSTV kwa bei nafuu ambapo hutapata popote pale. Huduma hii...
Habar wadau wa Tech,
Naomba kufahamu namna naweza jua picha imepigwa muda gani kama ukitumiwa whatsapp manake mi nikiangalia kwenye properties inaonyesha muda ambao nimedownload kama date taken...
Nataka nifanye rooting ya htc 1 x ili install custom rom sasa nimegoogle naona zipo nyingi naomben ushauri ipi iko vizur na nitumia app gani kuroot htc yangu, nimejarib king root ila imeshundwa...
Ukipiga kuangalia salio, kuweka vocha nk inaleta kama inavoonekana hapo juu, yaani kama unapiga namba ambayo haianzii na nyota na kuishia na reli.
Baadae inaleta hivi inavyoonekana
jaman mi nauliza faida ya kuunroot androids na je kuna hasara au unaitaji kujiandaa nn kabla ya kuunroot na je nawezaje kuunroot android Yang techno m3 v 4..2
Naombeni msaada wadau, nilipokuwa najiunga Facebook niliweka # yangu ya simu na email ili niwe napokea notifications za kutoka huko, sikuona ama kujua kama baadaye itakuja kunisumbua...
Hii ni kwa yeyote yule anaejali privacy zake,
Japokuwa Facebook hawafuatilii sana lower ended users lakini ni vyema kuangali suala la usalama wako hasa wewe mtumiaji wa hawa Tigo.
Tigo wanatoa...
wadau naombeni mnijulishe bei ya tecno y6 naskia kuna gulio saba saba au airtel gulio yeyote....m npo morogoro nijulisheni ili niweze kuangalia jinsi navyoweza ipata