Notifications za Facebook zinajaa kwenye email yangu,msaada wadau

Notifications za Facebook zinajaa kwenye email yangu,msaada wadau

CMBC Mlalahoi

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
222
Reaction score
69
Naombeni msaada wadau, nilipokuwa najiunga Facebook niliweka # yangu ya simu na email ili niwe napokea notifications za kutoka huko, sikuona ama kujua kama baadaye itakuja kunisumbua, notifications zikaanza kuja kwenye namba ya simu na email mpaka ikawa kero, nimefanikiwa kuzuia upande wa namba ya simu, ila upande wa email inagoma, yan email yangu naitegemea kwa ajili ya mambo yangu muhimu ila zinajaa notifications za Facebook yan mpaka nahisi kama kuna kitu kingine nimetumiwa naweza nisikione sababu zinajaa sana. Msaada wadau ili niweze kuzizuia zinanikera, mwanzo sikujua kama itakuwa hivi, MSAADA TAFADHALI
 
Fungua email yeyote ile waliyokutumia, chini mwishoni utaona link nyingine wamekwambia kama hutaki kuendelea kupata notifications click hapa (kwa kimombo lakini)
Uta click kama walivyokwambia then utadisable.
 
Plan B nenda Facebook Setting Notification hafu toa tick zile notifications zote zisiende kwenye email
 
Asante kk ngoja nijaribu
 
Plan B nenda Facebook Setting Notification hafu toa tick zile notifications zote zisiende kwenye email

Nimeshajaribu kk, ikashindikana anyway ngoja ntajaribu tena labda kuna kitu nakosea, shukran
 
Km umejua nilitaka naminiombe msaada wa aina hii sasa nimeupata shukran wadau
 
Back
Top Bottom