Relativity
Member
- Aug 10, 2014
- 60
- 15
naomba msaada na maelezo ya jinsi ya kununua na kulipia bidhaa kwenye kaymu kwa wale waliowahi kujaribu
Relativity wako vizuri kama alivyosema Mhandisi Mzalendo maelezo zaidi wapigie kupitia 0715769915ingia kwenye web yao na fanya machaguo yako baada ya muda watakutumia message uconfirm manunuzi then watakuletea mzigo mahala ulipo (unaweza kuchagua kuletewa au kuufuata , gharama ya kuletewa si kubwa sana) wapo vizuri ingawa
Je kama unaishi Mwanza watakulelea?
Je kama unaishi Mwanza watakulelea?