Msaada wa Kuhusu hili GARI

Msaada wa Kuhusu hili GARI

Ta Kamugisha

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2011
Posts
3,550
Reaction score
2,200
toyota-noah-03.jpg
 
Nataka kununua hii gari, je kwa wataalum wanaoifaam, lina uzuri gani na lina matatizo gani, ili nielewe kabla sijalinunua
 
Bila shaka hiyo itakuwa voxy au noah. Naitakuwa na engine ya 1az fse .engine ya d4 ambayo niugonjwa mkubwa sana hapa kwetu bongo kwa mafundi yetu??tatizo kubwa la engine hii ni mfumo wa mafuta hasa nozeli.hii engine haitaki kabisa mafuta ya kuchakachua ambayo kwa nchi yetu ni kama dawa vile lazima ukutane nayo 2
 
shukrani mkuu, zaidi ya mafuta ina tatizo lingine
 
VIOO VYA NYUMA HAVIFUNGUKI, kwa hiyo si salama kwa familia yako aua abiria

Mkuu shukrani sana, ngoja niangalie utaratibu mwingine au kwa hapa bongo ni gari gani zuri la kununua, ukiangalia matumizi ya mafuta, barabara zetu, na familia zetu African family ili niwe napakia hata vizawadi vya mizigo pale ninaposafiri kwenda kijijini
 
go for rav4 old model. you will never regret
 
Wanajf natitokeza kwenu kwa msaada nami naungia hapo nahitaji msaada wa mtu anaeiua vizuri gari aina subaru forester...naipenda sana nataka nimvue jamaa yangu but watu wengi wananiambia ni kimeo je taarifa hizi ni sahihi zikoje ,,tukiangalia ulaji wa mafuta,spare,na mafundi wake kwa hapa dar..nitashukuru kama mtanipm kwa msaada zaidi.....naomba kuwasilisha!
 
Bila shaka hiyo itakuwa voxy au noah. Naitakuwa na engine ya 1az fse .engine ya d4 ambayo niugonjwa mkubwa sana hapa kwetu bongo kwa mafundi yetu??tatizo kubwa la engine hii ni mfumo wa mafuta hasa nozeli.hii engine haitaki kabisa mafuta ya kuchakachua ambayo kwa nchi yetu ni kama dawa vile lazima ukutane nayo 2
Mkuu siyo zote zina engine ya d4 , unaweza kuangalia kwa kufungua bonet na kuangalia kibati chenye specifications za gari, ikiwa na d4 utaona kwenye kibati hicho usiwalishe wenzako sumu
 
Check engine specifications kwenye kibati ukifingua bonet kama siyo d4 ni gari nzuri sana , hutumia mafuta kidogo na very comfortable hata kwa safari nilitumia lita 30 only kwenda na kurudi morogoro.
 
Mkuu shukrani sana, ngoja niangalie utaratibu mwingine au kwa hapa bongo ni gari gani zuri la kununua, ukiangalia matumizi ya mafuta, barabara zetu, na familia zetu African family ili niwe napakia hata vizawadi vya mizigo pale ninaposafiri kwenda kijijini
RAV 4 ndio jibu tu,labda km una familia kubwa ndio sijui
RAV 4 kuna Manual na Automatic chagua yoyote
RAV 4 inaweza ingia rough road yoyote hata kupanda milima bila tatizo lakini NOAH haiwezi popote ila Onroad (Lami)
 
Rav4 ya Gear ndio mpango mzima
 
Mkuu siyo zote zina engine ya d4 , unaweza kuangalia kwa kufungua bonet na kuangalia kibati chenye specifications za gari, ikiwa na d4 utaona kwenye kibati hicho usiwalishe wenzako sumu

mkuu ni kweli uasemayo ila kwa hiyo picha aliyoweka na asilimia mia engine yake ni ya d4.
zipo noa zenye engine ya 3s fe.lakini sio hiyo hapo mkuu??
 
Mkuu shukrani sana, ngoja niangalie utaratibu mwingine au kwa hapa bongo ni gari gani zuri la kununua, ukiangalia matumizi ya mafuta, barabara zetu, na familia zetu African family ili niwe napakia hata vizawadi vya mizigo pale ninaposafiri kwenda kijijini

mkuu usikate tamaa kihivyo bana kama umeipenda noa wewe nunua tu sababu zipo noah zenye engine ya 3s fe ambazo ndio kimbilio la wanyonge sasa hivi coz watu wanabadili engibe zao za aina tofauti na kuweka hii engine ya 3s fe coz ni roho ya paka sana.kibongobongo inakutoa sana.itachakaa bodi ya gari tu lakini engine bado inadunda
 
tafuta passo kwani huko tunapoelekea wese litakua halishikiki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom