shalet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 3,441
- 3,613
Habar wadau wa Tech,
Naomba kufahamu namna naweza jua picha imepigwa muda gani kama ukitumiwa whatsapp manake mi nikiangalia kwenye properties inaonyesha muda ambao nimedownload kama date taken.
Note: Kuna mtu namdai nimemkumbusha pesa katuma picha na inaonekana ya muda kidogo alikuwa hospital napata challenge ya kujua date taken ili niende naye sawa.