unrooting phones

hooligan01

JF-Expert Member
Nov 21, 2013
662
523
jaman mi nauliza faida ya kuunroot androids na je kuna hasara au unaitaji kujiandaa nn kabla ya kuunroot na je nawezaje kuunroot android Yang techno m3 v 4..2
 
Kwanza unavoid warrant ukisharoot kama ikibuma ujue huwezi warudushia walio kuuzia, kwa namna swali lako lilivyo inaonyesha wazi hujui chakufanya na root kwa hiyo dont bother, ila faida yake ni kwamba unapata uhuru zaidi kufanya chochote ndani ya simu yako kama kutoa zile system apps ambazo zinakuja na simu kama vile palm chat, Facebook, redio nk. Vile vile unaweza kubadili user apps kuwa system apps kama moborobo, viber nk.
 
Back
Top Bottom