Niko Dar natumia tv ya samsung yenye receiver ya ndani nimejaribu kusearch chanel kwa kutumia antena ya kawaida(ya star times) zimeingia chanel zote za star times lakini ziko scrambled isipokuwa...
Hasa kwa kutumia PC au mobile browser (kwa app ya yahoo hamna tatizo), kila nikijaribu napata huu ujumbe 'We've noticed some unusual account activity.' Ila sina access na namba ya simu...
Wakubwa salamu
Kama nilivyoeleza hapo juu nina mashine ya CANON iR5870Ci inatatizo la TOUCH SCREEN,
panel ya namba inafanyakazi na display inafanya kazi, ila TOUCH imekufa ndio hakuna...
Je, wewe ni blogger au web designer? kama wewe ni blogger au web author na umechoka na tabia ya watu wengine kukopi post zako na kutumia kwenye blogs zao au webs zao hii hapa ni njia pekee ya...
WanaJF, nililazimika ku-reinstall windows baada ya matatizo fulani kwenye laptop. Nimeshindwa kufanya setup ya internet.
Tafadhali naomba msaada. Ni windows 7 ultimate
Facebook wametoa toleo la facebook app ambayo inaitwa facebook lite,ambayo ukidownload ina ukubwa chini ya KBs 500,iko faster kwenye network hafifu hata kama ni kwenye 2G network.Kilichotokea ni...
Habarini wakuu.....
Leo nataka niwaonyeshe jinsi nilivobadili mwonekano wa Huawei y300-100 yangu na kuifanya kua tam kama mcharoo.
Hizi ni app ambazo zitaipa feeling ya 4.4.4 sim yako ya android...
Wakuu naomba msaada, laptop yangu dell haiingizi charge na bettri inasoma 0% but ninaitumia kama kawaida. Tatizo ni kwamba siwezi kuitumia bila umeme, (imekuwa desktop)
poleni na majukumu wakuu! moja kwa moja kwenye suala lenyewe ni hv' nime download app ya Jamiiforums PlayStore nika sign in ikawa fresh ila kuna matata yaliyo tokea kwenye simu nikalazimika...
wakuu kwema,mwenye software ya gen charger PLC,huwa inatumika kwa ajiri ya configuration ya GEN CHARGER plc ya generator,kwa gharama yeyote naitafuta,mwenye nayo,nijurishe
Kwa yeyote mwenye link ya sq lite manager kwa android gingerbread naomba anisaidie, kila nikidownload nakuta new version ambazo hazisapoti kwa simu yangu .
Jambo wote, nina swali kuhusu ufanyaji kazi wa hizi touch screens ziwe za simu, tablet, nk.Awali nilidhani kitu chochote kikigusa screen inareact kumbe hapani. Ukitumia kalamu au kitu chochote...