Nielimisheni opera link

Nielimisheni opera link

kimbendengu

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
8,428
Reaction score
16,215
Wakuu naomba kuelimishwa namna ya ufanyaji kazi wa hii system hapo juu, asante
 
wakuu naomba kuelimishwa namna ya ufanyaji kazi wa hii system hapo juu asante

Opera Link ni nini??
Hii ni synchronization tool, ni mojawapo ya features zinazopatikana kwenye Opera apps zote (Opera, Opera (pc version) Opera Mini na Opera Mobile)

Ina umuhimu gani na inafanyaje kazi??
  • Kama utatengeneza Opera account, utaweza kubackup bookmarks na speed dials za kwenye Opera yako. Na unaweza kulog in kwenye Opera yoyote ile ukasynchronize bookmarks na speed dials zako kwenda kwenye Simu, tablet ama PC.
  • Kwa mantiki hiyo, kama ukawa unatumia Opera Mini kwenye simu yako, ukawa ume-pin page kwe speed dial. Utaka-login kwenye opera link ya pc yako, ile speed dial itaongezeka hapo.
 
maelezo mazuri ila fafanua kiundani zaidi
 
Kiufupi ni kwamba itakusaidia kuwa na backup ya bookmarks zako yani links ulizozihifadhi na unaweza kuzitumia kwenye vifaa tofauti tofauti pale tuu utakapo login kwenye vifaa hivyo kwa kutumia hiyo opera link account yako.

Mfano umenunua simu mpya na umeinstall opera na kama ulikuwa ume signed in kwenye device nyingine (operalink) utazipata adress zako zote (bookmarks) na speed dials vyote vitakuwa umevilink kwenye hiyo device mpya. Inafanya kazi kwa simu na PC pia.

Kama na hapa bado hujaelewa itakuwa unahitaji msaada wa ziada
 
ASANTE kaka nw nimekuelewa
 
Opera Link ni nini??
Hii ni synchronization tool, ni mojawapo ya features zinazopatikana kwenye Opera apps zote (Opera, Opera (pc version) Opera Mini na Opera Mobile)

Ina umuhimu gani na inafanyaje kazi??
  • Kama utatengeneza Opera account, utaweza kubackup bookmarks na speed dials za kwenye Opera yako. Na unaweza kulog in kwenye Opera yoyote ile ukasynchronize bookmarks na speed dials zako kwenda kwenye Simu, tablet ama PC.
  • Kwa mantiki hiyo, kama ukawa unatumia Opera Mini kwenye simu yako, ukawa ume-pin page kwe speed dial. Utaka-login kwenye opera link ya pc yako, ile speed dial itaongezeka hapo.
maelezo mazur braza,,thanx xana
 
Back
Top Bottom