Wakuu naomba msaada, laptop yangu dell haiingizi charge na bettri inasoma 0% but ninaitumia kama kawaida. Tatizo ni kwamba siwezi kuitumia bila umeme, (imekuwa desktop)
Pole Ally.Ipeleke Infosys wakuangalizie.kama itakuwa imekufa charging system hapakuwa na jinsi zaidi kununua laptop nyingine sanasana tafuta mtu akufungulie hard disk uhamishe files zako.ila kwanza jihakikishe kwamba battery na huo waya viko sawa
Ni hivi angalia battery kwanza tafuta battery kama hiyo pili hiyo inasoma ndo maana unatumia umeme inamaaana ina charge ukiona haichaji basi update driver au system nilitokewa na kitu kama hicho nikafanya hivyo hapa napiga mzigo kama kawiz
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.