wadau kwa anaye jua namna ya ku trace na kupata laptop iliyo ibwa ama kupotea tafadhali anipe u juzi hapa maana nimeibiwa laptop ina data muhimu sana.
ni ngumu sana. (Impossible).
cha kufanya nenda polisi, fungua RB kwa kutumia details muhimu za laptop yako kama vile serial number, na service Tag ili kama utampata mwenye nayo uweze kuichukua tena.
wadau kwa anaye jua namna ya ku trace na kupata laptop iliyo ibwa ama kupotea tafadhali anipe u juzi hapa maana nimeibiwa laptop ina data muhimu sana.
unaijua Ip (Internet protocol) address ya laptop yako au serial number zake?
unaijua Ip (Internet protocol) address ya laptop yako au serial number zake?
hii inasaidiaje?
Yes IP zake ni 127.0.0.1 unataka kumsaidiaje?
172.0.0.1 sio specific address ya hiyo machine, hii ni loopback address tunayotumia kutest software na application kwenye local machine (localhost), simply for testing..
Nadhani swali lingelenga kwenye MAC Address instead of ip.
Hata MAC addresses zinaweza kuwa spoofed au changed.
very correct! kuna mambo mengine yanazungumzwa kama kufurahisha thread. .