Msaada wa SPARE part ya CANON iR5870Ci touch screen

Msaada wa SPARE part ya CANON iR5870Ci touch screen

VIKWAZO

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Posts
1,900
Reaction score
583
Wakubwa salamu
Kama nilivyoeleza hapo juu nina mashine ya CANON iR5870Ci inatatizo la TOUCH SCREEN,

IMG_3633-1.JPG



panel ya namba inafanyakazi na display inafanya kazi, ila TOUCH imekufa ndio hakuna command inatuma kwenye mashine.
Nimewasiliana na hawa jamaa wa canon city naona nao ni wababaishaji tu, wana maneno mengi sana wale wapakistani.
Naomba atakayeweza nisaidia ilitatizo tuwasiliane kupitia inbox au hapa hapa kwenye THREAD

AU
Kama kuna mtu anajua software ambayo inaweza fanya function zote za hiyo TOUCH SCREEN kwa kupitia laptop au PC itafaa pia
 
Wakubwa bado nahitaji msaada Wa hii kitu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom