Wadau Kwa wale wenyekufahamu jinsi ya kuitumia hii rom manager app Baada ya kuiroot simu
ROM Manager ni app ambayo inatumika zaidi kumanage android system ya simu yako. Kama utakuwa na root permission/root access unaweza kutumia free version au ukanunua premium version.Natumia tecno h6
Natumia tecno h6