WayOut
JF-Expert Member
- Jun 18, 2015
- 752
- 173
poleni na majukumu wakuu! moja kwa moja kwenye suala lenyewe ni hv' nime download app ya Jamiiforums PlayStore nika sign in ikawa fresh ila kuna matata yaliyo tokea kwenye simu nikalazimika kui_restor so nikalazimika kui download upya hio app ila ss haitaki ku sign in tena inaandika connecting to server dk kibao then inakata! nifanyeje nisaidieni natanguliza shukrani