Kwa wapenzi wa brand ya tecno, kafanikisha vitu vya hatari, mmeviona?
Katoa tablet inaitwa Droid pad 8 au maarufu kama tecno 8H tablet safi sana niliiona Arusha kwa tsh 350000/= Google uone...
Poleni na majukumu wana Jf, kwa wale wataalam waliobobea kwenye IT, je kuna jinsi ya kutumia internet free pasipo malipo tena Unlimited! jibu kama ni ndiyo nini kinafanyika na inawezekanaje? lengo...
Jamani kuna sim ya tecno p5 ina tatizo la mtando yaani nikiweka line 2 tigo na voda inasoma ya tigo tu ya voda inasoma mara nyingine inakatika kabisa. Pia 3g haipo active. lakini cha kushangaza...
Teknolojia inazidi kukua siku hadi siku, na kwa kasi ya ajabu sana. Kama wanadamu, tunatakiwa tambua ya kwamba " unapotumia sana mawasiliano ya internet na ndivyo unajitenga na mawasiliano ya...
Habari wadau natumaini mu wazima Wa afya njema.napanda jukwaani kuomba msaada kuhusu hili .
Nimekuwa nikiona kwa baadhi ya watu wanaposokiliza mziki/ nyimbo kupitia handset zao lyrics za...
Nimechoka ku download viji application vinavyo copmress file kiduchu. Nataka niende kwa mtu hata nimlipe. Nina file langu liko katika form ya PDF ni kubwa nataka liwe kiduchu. Nipo Dar
Msaada...
Habari wakuu..
Mi nlikuwa na shida ya software ya kurestore data na files baada ya kuformat corrupted partition ya external hdd...ntashukuru sana km ntapata ambayo ni full version ambayo...
Knowledge bure hapa nimeanza kwa style mpya
Maelekezo:
1.Zima simu yako kisha toa line na washatena bila line
2.Tafuta unlock code yake yenye tarakimu nane(8)
3.Andika wp unlock code(za hiyo...
Habari zenu wanajamvi,
Naomba msaaada wenu, ninashindwa kudownload file kutoka katika tovuti ya secretariat ya utumishi wa umma lililo katika mfumo wa PDF, kila ninapo download halifunguki unakuja...
wadau naomba msaada wenu wa namna ya kupata chaneli za ndani nyingi badala ya moja tuu, nina kingamuzi cha hivyo. kinazingua kweli..
Nisaidieni wataalam..
Habari wana jf. Nimetune channel 10 station kwa internal decoder ya tv ya samsung..sasa tatizo sauti ya channel 10 inasikika pamoja na sauti ya magicfm radio. Unawezaje kuitoa sauti ya hiyo...
Wakuu nina iphone 4 wadogo zangu walichezea sasa kuwaka haiwaki ila ukichomeka charger inaonesha apple logo bila kuwaka tatizo lake nini? msaada wakuu...
The Theodore Roosevelt Building in Washington, headquarters of the Office of Personnel Management, is seen on June 19, 2015.
Mike Levine
The head of the FBI says foreign hackers now have some of...
Tecno Boom J7 is the latest amazing gadget from Tecno Mobile which has power and greater sound quality. Infinix also has done much on their smartphones to make them stand out as unique among...