Mambo wa jf....

Mambo wa jf....

pa1985

Senior Member
Joined
Feb 18, 2015
Posts
166
Reaction score
43
Natumia samsung glx note 1. Kwa siku za karibuni inaniletea ujumbe unaosomeka kama ifuatavyo..:- "STORAGE SPACE RUNNING OUT. SOME SYSTEM FUNCTIONS MAY NOT WORK" nimejaribu kufuta baadhi ya vitu lkn ujumbe bado upo. Naomba mnisaidie
 
Ram imezidiwa hata ukifuta haitasaidia kwakuwa Kila app iliyopo hata ukiifuta inaacha cookies Itabidi ukubali tu kurestore simu lakini fanya backup kwanza
 
Kama sjakosea simu za zamani zina internal storage mbili. Moja inayokaa apps na nyengine inaitwa mass storage.

Nenda setting halafu storage iache iload kwa muda itakupa dondoo jinsi storage zako zilivyotumika.

Internal storage ndio hio iliojaa, ibonyeze itakuonyesha ilivyotumika, toa video, sauti na picha zote zihamishie kwenye mass storage au memory card.

Inatakiwa free space iwe ni zaidi ya 10% ya total space
 
Ila heading ilinitatiza kidogo nikadhani kuna mtu anaitwa mambo halafu yupo JF
 
Back
Top Bottom