Dola Iddy Wa Chelsea
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 2,125
- 1,535
Wakuu, hapo awali nilikuwa natumia receiver yangu ya strong kwa bahati mbaya ikapigwa na radi ikawa haikamati signal kutoka kwenye lnb na power yake inayotoka kwenye port ya lnb in ni ndogo sana je nahitaji kubadilisha kifaa gani ili receiver yangu iendelee kufanya kazi kama kawaida?