KakaKiiza
Platinum Member
- Feb 16, 2010
- 11,952
- 9,469
Wakuu nilikuwa na kaspersky 2015 katika laptop yangu ambayo Os ilikuwa Window8 baada ya ku upgrade na kuwa Window 10 nikataka kuirudishia ikakataa ina sema hii Os ina antivirus inazokuwa compartible ikanitajia 2013,2012 hapa nashindwa hata chakufanya na mimi kurun mashine bila antivirus naona mtihani mkubwa!Msaada!