Msaada wa laptop ya Acer

Msaada wa laptop ya Acer

Eng Kahigwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2014
Posts
783
Reaction score
632
Habari zenu wanajukwaa. Nina tatizo na laptop yangu ya aina ya Acer E-series; tatizo ni kwamba nikiunganisha power cable inawaka na pia inaonesha battery inacharge, sasa kinachoisibu hii laptop ni kwamba battery haiongezeki chaji na ninaweza kuchaji masaa 6 lakini isiingie hata 1% ; na pia battery kabla ya kuicharge, ilikaa miezi miwili bila kuicharge. Naombeni kwa wanaofahamu tatizo hili jinsi ya kulitatua (kama ni battery au laptop ina matatizo) anisaidie maana laptop yangu imeshakuwa kama desktop.
Mungu awabariki.
 
Kukaa miezi miwili sioni kama ni tatizo ila jaribu battery nyingine. Baadhi ya maduka posta wanafanya hivyo (kama upo dar) ila jipange na kama elfu 70 iwapo itakubali uinunue
 
Kukaa miezi miwili sioni kama ni tatizo ila jaribu battery nyingine. Baadhi ya maduka posta wanafanya hivyo (kama upo dar) ila jipange na kama elfu 70 iwapo itakubali uinunue
sawa mkuu nimekuelewa kwakweli na nitalifanyia kazi. Nashukuru sana.
 
Back
Top Bottom