Msaada Kioo cha Nokia Lumia 820

Msaada Kioo cha Nokia Lumia 820

Mr Penal Code

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
823
Reaction score
216
Habarini wadau poleni na majukumu Naombeni msaada kama kuna fundi yoyote ambaye ana kioo na simu aina ya nokia Lumia 820 pamoja na housing yake ya nyuma ambayo inafunika betri ajitokeze hapa kwa mawasiliano ili aweze kunisaidia kubadilisha simu yangu imeharibika kwa kupasuka kioo au yoyote mwenye mawasiliano na fundi mzuri anisaidie kwa sasa nipo Dodona Asanteni
 
Back
Top Bottom