Habari wakuu
nimeagiza item through eBay ila umedelay kufika
Baada ya kumuuliza Seller kanambia nimpatie Tax ID number
Sina Idea ni namba gani anayohitaji.
msaada tafadhali kwa hili.
shukrani.
Naomba kuuliza ukitumia modern ambayo tayari ikiwa unlocked ufanisi wake nisawa tu na ile ya kawaida? Au uwezo hupungua baada ya Ku unlock. Naomba uzoefu wakuu.
Habari za leo ndugu wana Jf naombeni msaada jinsi ya kuroot samsung galaxy gt 7392 maana sasa nimechemka
nimejaribu kuroot kwa kutumia vroot, root master na kingo root lakini zote zimekataa...
wakuu nimepata majanga nimekalia na kuvunja koo cha simu nilikuwa naomba anaejua anijuze kioo cha sumsung note 4 bei gan au kama naweza kupata kioo cha mipango
Habari wadau humu jamvini. Kuna mdau mmoja nimemtembelea na nikakuta ana hiii kitu na anadai ni bora sana mpaka kaipiga kapuni receiver ya strong..
Naombeni maoni yenu je hiii kitu ni Kali kihivyo...
hi jf experts,anyone who knows how to load ms word with mathtype utility installed in web browser
i need to implement it in drupal site
think of writing the php scripts which automate the...
Habari wanajamvi.
Natarajia kuagiza gari wakati wowote kuanzia jumatatu ya wiki ijayo sasa kwa mwenye kufahamu website gani nzuri na bei zao sio mbaya sana ambao naweza kuwatumia kuagiza?
Na...
Habari zenu wataalamu, natumai mnaendelea vizuri sana katika kipindi hiki ambapo yamebaki masaa machache kuweza kuanza kwa sheria mpya ya makosa ya jinai ya mtandaoni.
Ningependa kuelekea kwenye...
Mimi kila siku asubuhi napenda kusikiliza BBC swahil muda wa saa 12.00. Leo nimeshangaa simu inaonyesha tayari saa 12 lakini program haianzi. Nikasubiri ilipofika saa 12.05 nikasikia ndio BBC...
Wangwana,Habari za majukumu ya kila siku..
Naomba msaada wenu wa jinsi ya kufanya ili kuunganisha Flat Screen na Home theatre niweze kuona picha,Kwa sababu ninaunganisha ila kweny Screen ya TV...
habari zenu ma gr8 thnkerz., naomben msaada wa wapi ntapata mafundi wazuri wa blackberry kwa hapa Dar au Mbeya .. naogopa kuwapelekea hawa mafund wa nokia vitoch
habari.
naomba ushauri wa kitaalamu juu ya kununua laptop nzuri hasa kwa ajili ya masomo.
hasa kwenye specifications na sehemu gani kwa kununulia.
kwa bei ya kama laki nne.
natanguliza shukurani
wadau baada ya pita pita zangu na ufuatiliaji wa ni vipi zile torch za trafic zinafanya kazi na ni vipi au njia gani waweza ifanya ili kujikinga nayo nikakutana na hizi njiabkutokana kwa madereva...