YAMUNGU OMARY
Member
- Feb 3, 2023
- 10
- 26
Naomba mnisaidie nawezaje kuja kuwa programmer na fuate misingi ipi ili nije kufiklia lengo langu
I'm a software engineer. I specialize in developing applications and websites for a variety of industries. I'm experienced in a wide range of programming languages, including Java, JavaScript, HTML, CSS, and SQL. I'm also familiar with a variety of frameworks, such as React, Angular, and Node.js. I'm passionate about creating high-quality, user-friendly software solutions that can help businesses succeed.Naomba mnisaidie nawezaje kuja kuwa programmer na fuate misingi ipi ili nije kufiklia lengo langu
Unaeza nichukua mda gan kumaster hivi vitu ??I'm a software engineer. I specialize in developing applications and websites for a variety of industries. I'm experienced in a wide range of programming languages, including Java, JavaScript, HTML, CSS, and SQL. I'm also familiar with a variety of frameworks, such as React, Angular, and Node.js. I'm passionate about creating high-quality, user-friendly software solutions that can help businesses succeed.
10 years kwa vichwa vizuriUnaeza nichukua mda gan kumaster hivi vitu ??
Duh miaka mingi sana.10 years kwa vichwa vizuri
15 years kwa vichwa vya kawaida
20 years kwa vichwa panzi
Huu muda unakufanya uwe guru wa programming
Unataka kudeal na programming ya vitu ganiNaomba mnisaidie nawezaje kuja kuwa programmer na fuate misingi ipi ili nije kufiklia lengo langu
Yes ni career kabisa ukifanya hobby hutaona matunda yoyote in terms of money mkuuDuh miaka mingi sana.
acha kutisha watu, halafu nina mashaka kama kweli wewe ni programmer au whacky tu10 years kwa vichwa vizuri
15 years kwa vichwa vya kawaida
20 years kwa vichwa panzi
Huu muda unakufanya uwe guru wa programming
Mi sina haja ya kubishana we ingia kwenye field utajionea mwenyeweacha kutisha watu, halafu nina mashaka kama kweli wewe ni programmer au whacky tu
nipo kwenye field chief, ndio career yangu, jaribu kuwapa motivation mkuuMi sina haja ya kubishana we ingia kwenye field utajionea mwenyewe
Sitaki kuwa mnafki mkuuu maana bugs watakazokutana nazo si za nchi hiii bora nimpe ukwelinipo kwenye field chief, ndio career yangu, jaribu kuwapa motivation mkuu
issue tu ni kupata mentor sahihi atayekupa njia nzuri ya kufikia lengo, pia na akili ya kujiongeza sasaSitaki kuwa mnafki mkuuu maana bugs watakazokutana nazo si za nchi hiii bora nimpe ukweli
Asije akasoma miezi 6 akasema ye ni guru wa kimataifa
No way!!!!!... Bora wajue ukweli tu
Elon musk mpaka alipata kipara unafanya mchezo mkuu 😒
Yeah mentor ni muhimu lkn ujue you'll need to do the whole work by yourself.issue tu ni kupata mentor sahihi atayekupa njia nzuri ya kufikia lengo, pia na akili ya kujiongeza sasa
ni kweliYeah mentor ni muhimu lkn ujue you'll need to do the whole work by yourself.
chatGPT inazidi kuongeza kundi la wajingaI'm a software engineer. I specialize in developing applications and websites for a variety of industries. I'm experienced in a wide range of programming languages, including Java, JavaScript, HTML, CSS, and SQL. I'm also familiar with a variety of frameworks, such as React, Angular, and Node.js. I'm passionate about creating high-quality, user-friendly software solutions that can help businesses succeed.
Kwa hivyo DTI, UDSM ou UDOM iyo IT wanayo fundisha miaka 3 au 4 wanakosea, Youtube video za saa 6 au 8 za kujua basic za programming nikupoteza mda??10 years kwa vichwa vizuri
15 years kwa vichwa vya kawaida
20 years kwa vichwa panzi
Huu utoto eti 17hrs of coding, wewe ni roboti?? Ukifanya Programming zadi ya saa 4 unapoteza ufanisi unaishia ku google kila kituHuu muda unakufanya uwe guru wa programming
Edit: Hapa ni 17 hours of coding
Internationally my foot, Java au C++ ya marekani na tazania zinatofati gani??Kwann nimeweka muda huo hii ni kwa wale wanaotaka kuwa internationally known programmers maana dunia ndo inakoelekea huko mambo ya AI, machine learning,deep learning
Hata computer hujui, math sio muhumu kujua basic kwenye programming. Kipindi computer inaanza kufundiswa mashuleni na vyuoni walikosa departiment ya kuiweka ikabidi waiweke departiment ya math kwa kuanzia hapo watu wengi pamoja na wewe mnadhani computer ni math vina uhusiano mkubwa hiyoNdo future ya hii industry mkuuu
Na hapo ukitaka kuwa mzuri zaidi jifundishe probability,statistics,calculus pamoja na discrete mathematics.
Acha kupotosha watu, peleka huu ujinga FB. Unaitaji 3 - 4 hrs kwa siku kujifunza programmingMaana hii ndo mama wa haya mavitu
Achana na watu wanaokwambia mathematics haihitajiki hawakutakii mema hao
Kwa program zote zenye mvuto ni mathematics za kutosha zimechanganywa hapo
Swali; unaweza kupata 17 hours kwa siku kusoma programming kama we ni mfanyakazi, au una biashara
Jibu gani, hata wewe mwenyewe hujuiJibu unalo mwenyewe 🔥🔥🔥
Jaribu kutafuta hikiBhas naomba mnirecommend vitabu vizur vya kusoma kuhusu programming, nahitaji kuanza kusoma software development (app and web devlp) ,Nahitaji kuanza na Java
Vp kuhusu C++ mkuu?Jaribu kutafuta hiki
Head first Java,
Kingine Beginning programming in Java for Dummies
Vitakusaidia sana kwenye kuanza lakini pia jitahidi sana kuwa unasoma Soma online maana unaweza kuta baadhi ya updates zimetokea na kwenye kitabu hazijawekwa so usikomae na kitabu pekeake
Pia wakati wa mazoezi yako ukikwama Nashauri utumie Stack overflow dhidi ya chatGPT