Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari wana. Jf simu yangu Ina pop up kuwa kuna virus nIkiscan inasema kuna app zinaitwa Monkey test na time service n I have to uninstall them. Nikii uninstall baada ya mda zinarud tena na hcho...
0 Reactions
46 Replies
6K Views
wakuu salama? kila nikitembelea wauzaji wa magari used, nakutana na magar ambayo si rahisi kuyaona mtaani kama ilivyo ya toyota, lkn unakuta yana bei nzuri kuliko hayo ya toyota. nimevutiwa...
0 Reactions
0 Replies
691 Views
Ndugu mteja, tutabadilisha vifurushi vya Cheka kuanzia 8/10/2015. Kwa maelezo, tembelea tovuti yetu http://vda.cm/IntanetiBombastik Ahsante kwa kuchagua Vodacom
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Naomba kusaidiwa juu ya tatizo tajwa, natumia DC-Unlocker but inaleta ujumbe "unlock failed" no user name!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Heshima kwenu wanajf! Nimepata moto e iliyotumika kaniletea jamaa. Haisomi 3G nipo maeneo ya Kibaigwa Dodoma. Nifanyeje ili isome naomba msaada kwenu wakuu.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Anyone know how to get dstv programmes for free.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwenye uzoefu na Noah naomba msaada. Kipi cha kuangalia ili kuhakikisha iko safi?
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Salam wakuu Natafuta fundi mzuri wa gear box ya toyota mark x. Msaada wenu katika hilo tafadhali. Shukrani
0 Reactions
0 Replies
1K Views
hebu ona hapa , hii nimeikuta Kaymu.co.tz Huawei Y600 New SHS 100,000/= http://www.kaymu.co.tz/huawei-ascend-y600-smartphone-black-83748.html
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Rocket Internet ni kampuni ya kijerumani iliyoanzishwa na ndugu watatu ambao kwa pamoja wanajulikana kama Samwer Brothers, hawa wamekuwa mabilionaire na maarufu kwa kucopy idea za kampuni...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
A year after the Nexus 6 Google unveils the next-generation phablet – meet the Nexus 6P. Despite its name it has a 5.7" screen and it's not made by Motorola this time but by Huawei instead. It's...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Wakuu heshima kwenu Ma-IT na Ma-Technician...Jamani kiselula changu kimegoma ku-lunch Google play..Nishajaribu njia nyingi ikiwa ku-clear cach,kui-unst na ku-inst tena..na mpangilio wa data ni...
0 Reactions
2 Replies
976 Views
Habari zenu! Nilikua na shida ya mtu anaejua mifumo ya CBA na CBET inakuaje na miundo yake, ni mifumo ya shule za ufundi VETA.
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Hello JF Kama Wewe Ni Mtumiaji Wa Instagram .. Sasa Nakuletea Instagram Plus. Hii itakuwezesha Kudownload ..Direct kutoka Instagram Bila Kutumia App Nyingine na Ku copy copy URL.. Pia...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Wadau salute kwenu, Kama kichwa cha topic kinavyoashiria uhitaji wa haraka wa msaada wenu kwa ajili ya tatizo lililoikumba ghafla simu yangu. Natumia Samsung Note 3 nimeiwasha sasa hivi ikawaka...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
How are you doing people. Am looking for a cable wire of remote trigger YONGNUO RF603NII. Is there any one with the idea where I can get the cable in Dar es salaam. Thanks for your replies
0 Reactions
0 Replies
678 Views
Je,naweza kubadilisha kompyuta yangu mfumo wa kujumulisha mahesabu,badala ya kujumulisha kwa MFANO: ---- -- --------1+1 = 2 ----ikasoma --1 + 1= 11? Naulizaa tu kwa uzuru,kuna jamaa...
0 Reactions
1 Replies
992 Views
Facebook Inc said it would launch a satellite in partnership with France's Eutelsat Communications to bring Internet access to large parts of sub-Saharan Africa. The satellite, part of Facebook's...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habarini za wakati huuu wakuu. Nina shida simu yangu nataka itumie line zote kwa sasa natumia tigo tuu ni HUAWEI 330
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wakuu Naomba mwenye Point of sale software yoyote au ambaye anafaham sehemu naweza pata including torrents anisaidie
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…