Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Nini cha kufanya / hatua za kufuata baada ya kuibiwa smart phone??
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Je ukiibiwa simu unawezaje kurudisha taarifa zako ktk simu mpya aina Techno P5!!, Je kuna program za kuhifadhi taarifa zako zote ili ukiibiwa unaweza kurdisha mara moja??
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wadau app hii imekumbwa na majanga gani tena,nakosa movies,mpira na burudani kibao kama una app yeyote nzur unayoijua ambayo haiscratch nisaidieni
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jaman nani anisaidie jinsi ya ku unlock icloud kwenye ipad yangu.......0655048006 kama utaweza
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wataalam wa mambo tujuzeni kuhusu mfumo huu mpya wa mawasiliano tafadhali CC Chief-Mkwawa h120
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu naomba msaada kwa anaye jua app nzuri na rahisi kutumia kweny Appstore, mwanzo nilikuwa natumia Mypocket lakini ghafla imeondolewa. asanteni.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
wadau mwenye program hyo plz antumie whatsapp 0766176001
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Habari wandugu, Nna simu tajwa hapo juu huawei y300; simu hii nilivyoinunua ilikua inapiga kazi vizuri kabisa sasa ina tatizo la kula chaji mno na ku-stuck; Yani kwa kweli sina hata hamu na hii...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nilikuwa nainstall antivirus ya kaspersky ikawa ikifikia hatua za mwisho zimebaki sek 2 inagoma, halafu inaniambia kwamba kuna antivirus cjaiunstall ambayo ni est nod 32, lakin nikiangalia kwenye...
0 Reactions
2 Replies
886 Views
Habari wakuu, Samahani nimepata tatizo la laptop yangu kustop kwenye welcome screen kila nikijaribu kuzima na kuwasha inaaishia hapo hapo. Nikifanya system repair inasema disk imepata tatizo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
naomba kuuliza jamani whats yangu ime expy sija update muda mrefu nifanyeja natumia s6 samsung
0 Reactions
0 Replies
697 Views
Ninahitaji msaada wenu wakuu. Simu yangu kila nikiwa kifurushi cha internet hakimalizi hata siku nzima, najiunga mb 180 mara tatu kwa siku na si kwamba na download sana video kwenye whatsapp sijui...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
A South African businessman, Ally Hamza, (53), and his Chinese accomplice, Huang Kun Bing (26), were on Friday arraigned in the Kisutu Resident Magistrates' Court charged with six counts. The...
0 Reactions
0 Replies
879 Views
Hello Friends We are going to share you this trick with which you can browse and download for free using Airtel sim card. For this you need to Download a Software Called Cproxy. You Can Download...
0 Reactions
40 Replies
57K Views
Nimefanikiwa Ku root android tablet yangu version 4.4.2 KitKat kwa kutumia kingroot lakini inanilazimu nitumie kinguser app ktk kufanya operation zangu na Mimi nataka nitumie superuser mana ipo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu naomba mnisaidie program inayotumika kutengeneza matangazo kama vile ya events mbalimbali mf.semina,midahalo,graduations nk.
0 Reactions
4 Replies
4K Views
natafuta programs za Video editing. Adobe premier Adobe After effect Pinnacle Studio 19 ultimate Plus. Adobe C5 & c6 kama unayo na nyingine za Video itakuwa vyema. nitafute...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mac, Googlechrome, Microsoft surface book
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Fungua start, Tafuta Run, Andika cmd, Right click when it display, Go to run as administrator, Andika sfc /scannow, Enter Windows 8 and 10 utaenda kwenye search box.. Then andika run...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
wakuu mimi nina shida nataka kufuta kabisa account yangu ya facebook isionekane hata google wala history yoyote kwani kuna watu wanachafua ac yangu na kupost mambo ya ovyo. NOTE: Ukidiactivate...
0 Reactions
1 Replies
961 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…