Msaada huawei y300

Msaada huawei y300

kkkt

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2014
Posts
364
Reaction score
115
Habari wandugu,
Nna simu tajwa hapo juu huawei y300; simu hii nilivyoinunua ilikua inapiga kazi vizuri kabisa sasa ina tatizo la kula chaji mno na ku-stuck; Yani kwa kweli sina hata hamu na hii simu inanikera mno nilikua naomba msaada nifanyeje ili niondoe ili tatizo la kuisha sana na chaji na ili la tatizo la ku stuck! Ndugu zangu natanguza shukrani kwenu; ndugu CHIFU MKWAWA na wengine msaada wenu tafadhali ahsanteni…!
 
reinstall firmware mpya root ur phone na udiliti apps ambazo zinakula ram kama todo,browser,playstore...ukitaka apps unaingia www.apkmirror.com au androiddrawer.com
 
mi ninayo hapa hizi cm za bei nafuu hii ndio gharama yake pia zina tatizo la kuonyesha low space storage, nafikiria kufanyia root
 
Nimejaribu kuifanyia reset naona kuna kanafuu kiogo ila apps nyingi mno zimeondoka idadi ya apps zilizofutika baada ya ku reset zinaweza kufika kama kumi hivi…!
 
mi ninayo hapa hizi cm za bei nafuu hii ndio gharama yake pia zina tatizo la kuonyesha low space storage, nafikiria kufanyia root

mkuu unafanyaje hiyo root?
 
nimejaribu kuifanyia kazi y300 yangu nimeweza kundoa tatizo la low space ktk internal memory japo sina muda wa kutosha sana nimejifunza vitu vingi mfano hizi simu zinaanza kusumbua pale unapoanza ku update apps zlizowekwa na mtengenezaji. Kwa hiyo nimefanya unistalling updates zote na kuondoa kabisa apps ambazo sizitumii. Rooting bado naifanyia study nikiwa tayari naibomoa kuondoa baadhi ya apps. Nafanya hivi mwenyewe sababu simu ni bora niitupe kuliko kumpelekea fundi
 
mkuu bado tu?
 
Habari wandugu nna cm tajwa hapo juu huawei y300;cm hii nlivyoinunua ilikua inapiga kazi vizuri kabisa sasa inatatizo lakula chaji mno na ku stuck; yani kwakweli sina hata ham na hii cm inanikere mno nilikua naomba msaada nifanyeje ili niondoe ili tatizo la kuisha sana na chaji na ili la tatizo la ku stuck! Ndugu zangu natangulia shukrani kwenu; ndugu CHIF MKWAWA na wengine msaada wenu tafadhali ahsanteni…!

Fanya hard reset ukimaliza root iyo simu
 
Back
Top Bottom