Application ya kudownload movies na music

Application ya kudownload movies na music

Simchezo

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
463
Reaction score
374
Wakuu naomba msaada kwa anaye jua app nzuri na rahisi kutumia kweny Appstore, mwanzo nilikuwa natumia Mypocket lakini ghafla imeondolewa.
asanteni.
 
Website nyingi zimefungwa coz ni kinyume na sheria, ni uhalifu, zamani nilikuwa natumia ku download website piratebay, ili uweze ku download lazima uwe na apps utorrent katika pc au laptop yako
 
Kwa sasa natumia Google ku search movie na kuangalia online free tu.
 
Ukkipenda unaishushaje...au ndo torrents kama kawa

Hapana, inanipeleka tu kwenye website tu na kuplay online watching, huitaji torrent kwa kuangalia. Ila junk mail huwa zasumbua wakati unataka ku play , just zifunge tu new page junk
 
Back
Top Bottom