Msaada nataka ku- replace kinguser ili nitumie superuser

metudi

Senior Member
Joined
Aug 13, 2014
Posts
150
Reaction score
72
Nimefanikiwa Ku root android tablet yangu version 4.4.2 KitKat kwa kutumia kingroot lakini inanilazimu nitumie kinguser app ktk kufanya operation zangu na Mimi nataka nitumie superuser mana ipo vizuri zaidi ya kinguser.

Nadhani wataalam mnajua hii kinguser inanikera zaidi pale inaponiletea maandishi ya kichina na nasikia wataalam wengi wana recommend superuser over kinguser

Nisaidieni wataalam
 
Nimefanikiwa Ku root android tablet yangu version 4.4.2 KitKat kwa kutumia kingroot lakin inanilazimu nitumie kinguser app ktk kufanya operation zngu na Mimi nataka nitumie superuser mana ipo vizuri zaidi ya kinguser nadhan wataalam mnajua hii kinguser inanikera zaidi pale inaponiletea maandishi ya kichina na nasikia wataalam wengi wana recommend superuser over kinguser nisaidieni wataalam

replace kwa kutumia super su-me...utapata super su

https://sites.google.com/site/androidxdacom/file/supersu-me-v6.7.apk

tumia hyo link hapo.
 
Nimefanikiwa Ku root android tablet yangu version 4.4.2 KitKat kwa kutumia kingroot lakin inanilazimu nitumie kinguser app ktk kufanya operation zngu na Mimi nataka nitumie superuser mana ipo vizuri zaidi ya kinguser nadhan wataalam mnajua hii kinguser inanikera zaidi pale inaponiletea maandishi ya kichina na nasikia wataalam wengi wana recommend superuser over kinguser nisaidieni wataalam
kinguser version latest iko kwa kiingereza kila kitu, haina kichina kabisa, ila kama huitaki tumia njia aloitaja Kcamp na kuna njia ingine ila yenyewe ni brand specific, mpaka tujue unatumia brand gani ya iyo tablet...
so far tumia njia ya kcamp
 
Nashukuru sana mkuu cjajua kama kuna latest version Ila tab nnayotumia ni Vodafone version KitKa 4.4.2 Ila nasikia superuser ni nzuri zaid kuliko kinguser!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom