Ukiibiwa simu, nini cha kufanya kwa haraka?

kipusi

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2015
Posts
443
Reaction score
75
Nini cha kufanya / hatua za kufuata baada ya kuibiwa smart phone??
 
Ukifanya mchezo utakuta umepoteza pesa nyingi kuliko bei ya simu.

Pole sana kama tayari wamekuibia.we mshukuru tu Mungu.
 
Moja.. Mkimbize mwizi hadi umkamate.

Mbili.. Ukimkamata, Chukua simu yako, alafu mkague uone kama ana kadi ya kupigia kura.

Tatu.. Akiwa nayo USIMUUE, asipokua nayo Piga kiberiti.

Nne.. Angalia pia anakadi ya Chama gani!? Kama Chama Tawala MPE walau 20K akanunue simu.. Kama Ni mpinzani Mpore Alichonacho.

Tano.. Agana naye.
 
Duu! kuna watu nadhani vichwa vyao huwa vibapoteza network.
 
Hatua ni kama zifuatazo

1)Sikitika. Kulingana na thamani ya simu unaweza kusikitika hadi ukatoa machozi kadhaa.

2)Jisachi ili kubaini kama kuna kitu kingine mbali na simu kimeibiwa.

3)Chukua mapumziko ya takribani masaa mawili ili kutuliza wenge la kuibiwa. Hapa unaweza kulala eneo lenye utulivu na upepo mwanana

4)Baada ya mapumziko mafupi, tizama saa kama muda bado unaruhusu ili uweze ku renew line yako, kama muda hautoshi fanya zoezi hili siku inayofuatia

5)Anza mkakati wa kutafuta simu nyingine
 
Aaah! JF burudani, maswali yote yanapata majibu mwanana kabisa
 
mkuu hakikisha una risiti ya hip simu na imei yake ilioandikwa kwenye risiti au boksi, nenda kituo chchote cha polisi kawaambie umeibiwa simu wakupe RB kisha nenda central police station kalipie 500 kwa muhasibu then uende waambie wakiandikie police report kisha uende voda shop,tigo shop ..n.k
 
nunua simu haraka u-renew line maana kuna watu watakuwa wanakutafuta kukupa dili
 
Moja.. Mkimbize mwizi hadi umkamate.

Mbili.. Ukimkamata, Chukua simu yako, alafu mkague uone kama ana kadi ya kupigia kura.

Tatu.. Akiwa nayo USIMUUE, asipokua nayo Piga kiberiti.

Nne.. Angalia pia anakadi ya Chama gani!? Kama Chama Tawala MPE walau 20K akanunue simu.. Kama Ni mpinzani Mpore Alichonacho.

Tano.. Agana naye.

Hii kweli nje ya mada, hapo nne upo kinyume na logic, kama ccm piga kiberiti, kama UKAWA...... achana nae
 
Hatua ni kama zifuatazo

1)Sikitika. Kulingana na thamani ya simu unaweza kusikitika hadi ukatoa machozi kadhaa.

2)Jisachi ili kubaini kama kuna kitu kingine mbali na simu kimeibiwa.

3)Chukua mapumziko ya takribani masaa mawili ili kutuliza wenge la kuibiwa. Hapa unaweza kulala eneo lenye utulivu na upepo mwanana

4)Baada ya mapumziko mafupi, tizama saa kama muda bado unaruhusu ili uweze ku renew line yako, kama muda hautoshi fanya zoezi hili siku inayofuatia

5)Anza mkakati wa kutafuta simu nyingine

Moja.. Mkimbize mwizi hadi umkamate.

Mbili.. Ukimkamata, Chukua simu yako, alafu mkague uone kama ana kadi ya kupigia kura.

Tatu.. Akiwa nayo USIMUUE, asipokua nayo Piga kiberiti.

Nne.. Angalia pia anakadi ya Chama gani!? Kama Chama Tawala MPE walau 20K akanunue simu.. Kama Ni mpinzani Mpore Alichonacho.

Tano.. Agana naye.

😀😀😀😀
Jamii forums raha kweli. Msongo wa mawazo lazima uishe.
 
Kama iPhone ifunge (icloud lock, mkose wote)
Kama Android (lollipop 5.1 kwenda juu, kuna Njia ya kuformat wote mkose) ..

Ripoti police na vielelezo vyake wanaweza track au kufunga kwa imei
 
Moja.. Mkimbize mwizi hadi umkamate.

Mbili.. Ukimkamata, Chukua simu yako, alafu mkague uone kama ana kadi ya kupigia kura.

Tatu.. Akiwa nayo USIMUUE, asipokua nayo Piga kiberiti.

Nne.. Angalia pia anakadi ya Chama gani!? Kama Chama Tawala MPE walau 20K akanunue simu.. Kama Ni mpinzani Mpore Alichonacho.

Tano.. Agana naye.

Kweli ccm ni ile ile...wizi mtupu. Mwizi mwenzao wanaagana naye...imekwisha! Kumbe hii ndiyo falsafa yao...Twuibe tusepe...hapa kazi tu...kuiba na kusepa
 
mkuu hakikisha una risiti ya hip simu na imei yake ilioandikwa kwenye risiti au boksi, nenda kituo chchote cha polisi kawaambie umeibiwa simu wakupe RB kisha nenda central police station kalipie 500 kwa muhasibu then uende waambie wakiandikie police report kisha uende voda shop,tigo shop ..n.k

ok thank you kk
 
Back
Top Bottom