wakuu mimi nina shida nataka kufuta kabisa account yangu ya facebook isionekane hata google wala history yoyote kwani kuna watu wanachafua ac yangu na kupost mambo ya ovyo.
NOTE: Ukidiactivate bado inakuwa inaonekana mahali pengine so naomba msaaada kuifuta DELETE FOREVER
NOTE: Ukidiactivate bado inakuwa inaonekana mahali pengine so naomba msaaada kuifuta DELETE FOREVER