Nilikuwa nainstall antivirus ya kaspersky ikawa ikifikia hatua za mwisho zimebaki sek 2 inagoma, halafu inaniambia kwamba kuna antivirus cjaiunstall ambayo ni est nod 32, lakin nikiangalia kwenye control pannel siioni hyo ant ya est nod 32,msaada wenu tafadhali. Natumia window xp.