Hello Guys.. Mwenzenu imepita Kama Week sasa Toka WhatsApp Inipige BAN .. Na Sababu kubwa Ni Kutumia Third party Application ya WhatsApp Plus...
Nikaamua Kuchange Namba Tu na Kutumia Nyingine...
Heshima kwenu wadau.
Nimetumia anti virus ya AVG kwa ajili ya laptop yangu ni windows 8 ila ilikuwa ni trial version tu sasa imeisha muda wake wakuu. Nikasema niombe assistance jukwaa letu pendwa...
wakuu
Leo nilijaribu kuconvert video(muvi) kwenda kwenye format ya MPGE ili niweze kuiangalia kwenye deki(DVD driver) lakin baada ya kubadili format video imekuwa kubwa sana (from 1.2GB to...
Nimeweka data column A na B column C nimeweka formula ya average nataka nikopy hiyo formula kwa Ku-drag ili ninapo ingiza data column A na B inipe average column C lakini haileti average. Nifanyaje?
Habari ndugu, naombeni msaada accounts yangu ya youtube inagoma kuonyesha video ina search ilaleta video lakini kuplay inagoma, please msaada wenu ni muhimu.
Nina TECNO H5 na android version yake ni 4.2 Jelly Bean...Je, kuna uwezekano wa kuipeleka Version nyingine yani Android 4.4 Kit Kat???
Kwa anaejua tafadhali
Habari zenu wana jukwaa,
Ni matumaini yangu mu wazima wa afya, naomba mwenye uelewa anisaidie. Nina PC nikiingia internet niki scroll page ina stack kama sekunde 10 ndio ina move up. Naomba mwenye...
mi sio mtaalamu wa Masuala ya simu,nimeipenda sana hii simu nataka nijichange niichukue;android version ni 4.4.4 na kernel version ni 3.442-gdb5a4c6 na system version ni...
Habari wa jf
naimani na wataalumu wa humu ndani
naombeni mnisaadie kujua jinsi ya kuformat samsung galaxy S4 maana nimeshindwa kufanya. msaada wanandugu
natanguliza shukrani sana
kuna program ya kuchakata matokeo ya uchaguzi inajosoma dat kutoka kweny txt file... nimecompile haionyeshi error but niki run haioneshi ouput.. unaweza kuipitia kupitia...
Habar,,,ndugu naomben msaada wa kutengeneza template itakayo nisaidia kutolea matokeo ya mtihani kidato cha pili na cha nne,nmejaribu kutengeneza kwenye excel nimeambulia patupu,,kwa yeyote mwenye...