its vry simple..it doesnt require PC..jus download #root checker basic and #360root and u r done,,,if u stuck anywhere check me via 255 656 673 699...,enjoy
Wakuu Salamu sana na poleni na majukumu ..
Niko. Moshi haijalishi uko wapi kama una laptop haijalishi dell ; HP au Toshiba uko willing kwa hio hela nicheki 0763705011 tufanye biashara...
Wana jamvi natumaini mtakuwa wazma wa afya.naomba kujuzwa kama kuna uwezekano wa ku flash simu aina ya tecno p5 plus.nakama kuna anaye fahamu sehemu ambayo naweza kupata huduma hiyo anijuze. Asanteni.
Mtaalamu wa kutumia Linux computer Operating system anahitajika.Awe anaujuzi wa Unix family hasa Linux zaidi.Pia awe vizuri katika useful tools za Linux. Apply kupitia aldasoah@gmail.com. Vigezo...
Hey people niaje pande hiz i'm coming ki hivyo yani,
Nimekuwa natumia mda mrefu ps 2 games ila kutokana na tecknologia inavyokuwa nimekuja kufaham kuwa kuna matumizi ya usb flash kuhifadh games...
Habari wana jamvi, ninatumia smartphone yenye android v 4.4.2
Niliwahi kusikia kuhusu droid na troid. Ila hiyo ilikua 2013. Je cureently 2015 ninaweza kipata free internet bila shida.
Naombeni...
Wakuu heshima iwe kwenu
Kuna mtu anataka aniuzie Projector aina ya Sony.mimi binafsi sijaiona natarajia kesho tuonane nae ili niione na ikiwezekana biashara tufanye.Sasa nilikuwa naomba mwongozo...
Natafuta kioo cha mbele cha gari suzuki wagonR solio ya mwaka 2005. Kama kuna mtu anajua wapi naeza kukipata hapa dar naomba anisaidie maana nimezungunguka baadhi ya maduka bila mafanikio
Ndugu habari za Leo nina tatizo kwenye simu yangu ya HUAWEI Niki connect data ina stack na wakati mwingine inatoa meseji ya unfortunately systeminfo had stopped nini ni tatizo jamani mana...
Nlikuwa natumia window 7 nikabadili kwenda window 8. sasa niki install games zina kata kufunguka au zina stalk. je tatizo n nini? kama ni drivers ni drivers gani na nitazipataje? natanguliza shukrani.
Habari wadau wa tech nina printer ya epson jana nimenunua wino ule wa 500ml sasa kabla hujajaza wanataka ID hapo sijajua ni zile za mwanzo au hizi item lot no kwenye haya mabottle mapya. Thanks