Wataalam wa Projector naomba msaada wenu

Wataalam wa Projector naomba msaada wenu

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
1,002
Reaction score
278
Wakuu heshima iwe kwenu
Kuna mtu anataka aniuzie Projector aina ya Sony.mimi binafsi sijaiona natarajia kesho tuonane nae ili niione na ikiwezekana biashara tufanye.Sasa nilikuwa naomba mwongozo wenu kuhusu ukubwa wa picha unapimwaje na vitu gani vya muhimu natakiwa kuvifahamu.
 
Mkuu hapo cha kuzingatia ni Picture Quality ya hio project ambayo inachekiwa kwa Resolution ambazo zipo sokoni zaidi ni hizi SVGA 800??600 Pixel. ingine XGA 1024??768 ingine ni WXGA 1280??800Hii ni high definition na inaweza kuproject 720P HD image Top kabisa ni WUXGA 1920??1200 hii ina gonga mpaka 1080p Full Hd jambo lingine la kuzingatia ni Brightness au mwanga wa project kama ni kwa ajili ya home tu na kufundishia chukua yenye 2500Lumens minimum na hao ndo muhimu
 
Asante mkuu na bei zake zipo ktk kiwango kipi muda si mrefu nitakutumia picha yake unichekie tafadhali
 
Mkuu specification izi then ntakuambia bei
-Model
-Brightness
-resolution
-Light lamp na Lamp life
then i will let u know the price
 
Back
Top Bottom