Jinsi ya ku refill epson l800

Jinsi ya ku refill epson l800

shalet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
3,441
Reaction score
3,613
Habari wadau wa tech nina printer ya epson jana nimenunua wino ule wa 500ml sasa kabla hujajaza wanataka ID hapo sijajua ni zile za mwanzo au hizi item lot no kwenye haya mabottle mapya. Thanks
 
Kila ikiisha wino wakati unajaza upya inataka code nyingine. Kama hauna code unaweza tafuta google 'epson ink reset codes l800' zitakuja nyingi tu.
 
wewe paale inapoandika code za wino tick aina ya wino then nenda next! badae itakupa option ya kurefil ata kama siyo genuine type of ink! Nenda next next mpaka close itakuwa tayari na taa itazima
 
wewe paale inapoandika code za wino tick aina ya wino then nenda next! badae itakupa option ya kurefil ata kama siyo genuine type of ink! Nenda next next mpaka close itakuwa tayari na taa itazima
tanks nilipata ID online.
 
Back
Top Bottom