Mtaalamu wa kutumia Linux computer Operating system anahitajika.Awe anaujuzi wa Unix family hasa Linux zaidi.Pia awe vizuri katika useful tools za Linux. Apply kupitia aldasoah@gmail.com. Vigezo na Masharti kuzingatiwa.
Hiyo ni parttime job wakuu, pia haina masharti yale magumu ya lazima kuhudhuria kila siku. Na kuhusu malipo ni makubaliano kama mkataba wa hiyo kazi utakavopangwa na kuridhiwa na pande zote husika. Niandikieni via aldasoah@gmail.com.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.