How to update to windows 8.1 in Lumia 625

QUALIFIED

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2012
Posts
773
Reaction score
119
Habari wakuu
Nina Nokia Lumia 625 black Ina windows 8 nataka kuupdate kwenda windows 8.1 nashindwa msaada kwa mwenye ujuzi tafadhali
asante
 
inabidi uwe na wifi, jitengenezee wifi na simu nyengine au laptop halafu connect simu na hio wifi halafu kwenye simu yako nenda setting then phone update halafu itasearch update iache iji update. ila sababu upo na software ya zamani kutakuwa na malimbikizo mengi ya updates hivyo itabidi uwe na subira. na bundle itahitajika zaidi ya mb 500.
 
nimejaribu lakini imeniletea updates za windows 8.0 bado hapo inakuaje
 
nimeshakujibu hapo juu kutakuwa na updates nyingi itabidi uwe na subira, mpaka upate update ya amber na black kwanza ndio itakuja cyan (windows phone 8.1) kisha denim update
 
thanks mkuu naona inaupdate Tu na inahitaji more space ngoja nivute subira nione mwisho wake
 
Back
Top Bottom