Nataka Ku-upgrade Android version

Nataka Ku-upgrade Android version

Nafikiri Zaidi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
516
Reaction score
686
Nina simu TECNO H5 Android version yake ni 4.2 Jelly Bean .....

Je kuna uwezekano wa kuipeleka 4.4 Android Kit Kat ..Kwa anaejua tafadhali..
 
Tatizo la simu hizi za Tecno ni kuwa hawatoagi updates kwa simu zao hata flagship nadhani, wanataka ukanunue tolea jipya ili upate Android version latest.
 
Ndio, ila upate custom roms, hazitakua na newer Android version ila zitakua optimized sana kupita hiyo os iliyonayo saiv
 
kwa mara ya kwanza mediatek imepata official OTA update, rafiki yangu ana sony xperia c5 ultra iliyokuwa na Android 5.1 ametumiwa update ya 6.0 marshmallows leo mchana. ni hatua nzuri
 
kwa mara ya kwanza mediatek imepata official OTA update, rafiki yangu ana sony xperia c5 ultra iliyokuwa na Android 5.1 ametumiwa update ya 6.0 marshmallows leo mchana. ni hatua nzuri
Dah Sony ni habari nyingine mkuu, jamaa ndio wako vizuri sana kwa ku update devices zao kwa wakati kuliko yeyote baada ya Google
 
Dah Sony ni habari nyingine mkuu, jamaa ndio wako vizuri sana kwa ku update devices zao kwa wakati kuliko yeyote baada ya Google

kweli jamaa huwaga hawaachi nyuma simu zao hata za 2013 zinapata updates.. wapo vizuri sana
 
kwa mara ya kwanza mediatek imepata official OTA update, rafiki yangu ana sony xperia c5 ultra iliyokuwa na Android 5.1 ametumiwa update ya 6.0 marshmallows leo mchana. ni hatua nzuri

Duh tayar marshmallows imefika mm niko na z3 ila nasubiri kwa hamu
 
Dah Sony ni habari nyingine mkuu, jamaa ndio wako vizuri sana kwa ku update devices zao kwa wakati kuliko yeyote baada ya Google

Motorola wapo juu ya Sony, ushaskia xperia E series zikipata updates sana?

Motorola hadi Moto E zinapata
 
Kwahiyo update mpaka utumiwe? Au inakuwaje chief

yap mtengeneza simu ndio mwenye jukumu la kukupa wewe updates. japo pia unaweza kui update simu mwenyewe kupitia custom rom ila zinakuwa hazipo stable kama official
 
Uwezekano upo but iyo 4.4 itachukua nafasi. Mi niliweka 4.4 ikamaliza nafasi yote mwisho wa siku nikataka kurudisha yake ya zamani simu ikafa.
 
Attachments

  • 1445062344216.jpg
    1445062344216.jpg
    41.8 KB · Views: 180
Mkuuu Chief-Mkwawa hivi sisi watumiaji wa samsung E7 lini tunaweza kupata lilpop.. Hujapata updates kuhusu hiloo.... Q
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom