Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Link yake hii hapa. http://-------/1P0AyB je nitatumia njia gani kuflash cm yangu.thanks in advance
0 Reactions
0 Replies
809 Views
Hello JF Tech.... Poleni n Pirika Za Uchaguzi Siku chach kabla ya Uchaguzi Nilikuwa Dillema Katika Kwenda Kununua Power Bank Na Wasiwasi Mkubw ni Kuwa Power Bank Nyingi Ni Fake.. Sasa Juzi...
1 Reactions
19 Replies
5K Views
Shalom wakuu wa eneo hili. Nilikuwa naandika taarifa fulani muhimu kwenye laptop yangu niliyotaja hapo juu. Umeme ukakatika na uliporudi saa 1 baadae windows 7 premium ikakataa kufanya kazi na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
salute wakuu, naomba msaada wa namna rahisi ya kupata PUK ya SIM yangu imeblock. Ahsanteni
0 Reactions
4 Replies
8K Views
Nilikua natumia netquin kwa nokia yangu s60 nikaidowload na mambo yalikua poa tatizo ni android nayotumia sasa hivi nahisi hizi ant virus sio za kweli maana kila nikiscan infected memory card...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu simu tajwa hapo juu,imekataa kuingiza chaji, msaada tafadhali
0 Reactions
5 Replies
880 Views
Habari wakuu, nina laptop (HP Pavilion dv1000) ya ndugu yangu alifanyiwa installation ya windows7 na fundi. Note: available drivers are only for windows 2000 na windows xp. Fundi aka install ile...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu, simu hii imekataa kuingiza chaji kila ukichaji inasoma 1% - 0% haizidi zaid ya hapo, wajuzi hii nini tatizo.
0 Reactions
5 Replies
700 Views
Nimetembelea kaymu nimekutana na hizi simu hapa na nimependa kununua mojawapo kati ya hizo,but sizifaham ubora wake..je kuna ushauri wowote katika hili hasa hiyo sumsung s6 clone inayouzwa laki 2...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Heshima kwenu GTs. Nahitaji motherboard ya Dell Optiplex Desktop DCCY(Small Form Factor) au desktop System Unit au Dell GX520 motheboad. Mwenye nayo tuwasiliane
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu msaada wenu unatakiwa hapa, Website ya Google hapa kwangu haitoi majibu, tatizo linaweza kuwa nini? Computer ina anti -virus ambayo ipo up to date, pia website zingine zote zinafunguka...
0 Reactions
2 Replies
987 Views
Jamani msaada naomba kulijua hili.nikiingia internet baada ya kama dk10 iv phone yangu inashika joto sana. Naomba kufahamu tatizo uwa ni nini.
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Naomba kupata msaada namna ya kuroot huawei ascend y530,,
0 Reactions
1 Replies
2K Views
its vry simple..it doesnt require PC..jus download #root checker basic and #360root and u r done,,,if u stuck anywhere check me via 255 656 673 699...,enjoy
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu Salamu sana na poleni na majukumu .. Niko. Moshi haijalishi uko wapi kama una laptop haijalishi dell ; HP au Toshiba uko willing kwa hio hela nicheki 0763705011 tufanye biashara...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wana jamvi natumaini mtakuwa wazma wa afya.naomba kujuzwa kama kuna uwezekano wa ku flash simu aina ya tecno p5 plus.nakama kuna anaye fahamu sehemu ambayo naweza kupata huduma hiyo anijuze. Asanteni.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
picha hazionyeshi either ni post ama ni view ina kuwa kama file lime crash ss sijajua ni simu yangu tuu ama ni janga kwa wengi
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mtaalamu wa kutumia Linux computer Operating system anahitajika.Awe anaujuzi wa Unix family hasa Linux zaidi.Pia awe vizuri katika useful tools za Linux. Apply kupitia aldasoah@gmail.com. Vigezo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau nijuzeni huyu mtu kafa au
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hey people niaje pande hiz i'm coming ki hivyo yani, Nimekuwa natumia mda mrefu ps 2 games ila kutokana na tecknologia inavyokuwa nimekuja kufaham kuwa kuna matumizi ya usb flash kuhifadh games...
0 Reactions
3 Replies
961 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…