Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 10,918
- 16,110
Wakuu, simu hii imekataa kuingiza chaji kila ukichaji inasoma 1% - 0% haizidi zaid ya hapo, wajuzi hii nini tatizo.
sio tabia ya tecno kuna ktu umeunganishabkwa nia ya kuichaji lakin sio specified kwa io simu ukibisha shauri yako