Simu kushika moto kama nikitumia internet

Simu kushika moto kama nikitumia internet

Joined
Aug 11, 2013
Posts
88
Reaction score
7
Jamani msaada naomba kulijua hili.nikiingia internet baada ya kama dk10 iv phone yangu inashika joto sana.
Naomba kufahamu tatizo uwa ni nini.
 
toa taarifa za kutosha.utasaidiwa..
aina ya simu...
fake/original
tatizo limeanza lini..
 
Jamani msaada naomba kulijua hili.nikiingia internet baada ya kama dk10 iv phone yangu inashika joto sana.
Naomba kufahamu tatizo uwa ni nini.
mi kuna wakati nilikuwa na ttzo kama lako. Kuna wataalamu wakanambia kama ttzo nikiwa natumia internet basi itakuwa ni betri. Nilipobadilisha tatizo halikujirudia. Sasa sina jibu la uhakika katika hiyo simu yako mpya, tusubiri wataalamu waje na majibu ya hapo.
 
pole sana hilo ni tatizo hata mm natumia htc désire c but nikiwasha data basi utafikiri ipo Kwenye tanuri la kuyeyusha chuma
 
Hilo tatizo lipo hata kwangu. Mi natumia HTC ONE X, nikijiunga net inakuwa ya moto balaa. Mpaka huwa naamua ku-disconnect au kuizima kabisa ili ipoe.
 
Nadhani HTC zitakua na tatizo.Ya kwangu ni HTC one..inapata moto mpaka kuna wakati nadhani italipuka.
 
hata tecno ni shda inapata moto mpka vdole vinavimbia maji!!sa hv huwaga naiweka kwnye maji ka samaki vile!!!

Tecno ni majanga, mm mwenyewe nina h6 inawakaga sana, mm nahisi tatizo ni u fake wa simu.
 
mkuu wapigie zimamoto watakuja fasta ilimradi tu ulipo pasiwe inaccessible pasiwe uswahilini
 
Back
Top Bottom