Ushauri:sumsung galaxy s6 ya laki 2 inadumu kama s6 original?

The hammer

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2011
Posts
2,409
Reaction score
1,813
Nimetembelea kaymu nimekutana na hizi simu hapa na nimependa kununua mojawapo kati ya hizo,but sizifaham ubora wake..je kuna ushauri wowote katika hili hasa hiyo sumsung s6 clone inayouzwa laki 2 tu ningependa kupata matatizo ya hiyo sumsung s6 na uimara wake unaweza kuwa sawa na simu kama Techno Y6 au P5 au P6

Kati ya sumsung Galaxy Note 4-clone na Samsung Galaxy J1-4.3 ipi ni latest version

Na nikinunua kupitia hawa Kaymu ni waaminifu na nitapata bidhaa niliyoagiza au nao wana ujanja ujanja.

Link ya simu zenyewe ni hizi zifuatazo:

Buy Samsung Galaxy S6 phone- (Size 5.7" - 16MP - 4GB RAM - 3000mAh - OS, v5.1.1 (Lollipop)-copy | Lowest Price | Kaymu

Buy Samsung Galaxy J1 - 4.3" - 5MP - 512MB RAM - 1850mAh - OS, v4.4.4 | Lowest Price | Kaymu

Buy Samsung Galaxy Note 4 - Clone - White | Lowest Price | Kaymu
 
Achana na simu feki mkuu

Waswahili wana kamsemo kao wanasema bure ghali
 
Vipi hizo nyingine tofauti na hiyo S6? nazo ni fake na unatambuaje kuwa ni fake maana nimeuziwa mara 2 simu fake
 
.

Simu nunua kwenye maduka yanayoeleweka mkuu? Au agiza toka nje ili kuepuka feki
 
Ubaya wa fake aka clone ni kuwa huwezi kujua level ya ufake wake.

Fake kidogo itadumu sana tofauti na fake sana.

Kwa kuangalia tofauti ya bei unaweza kuestimate ufake wake.
 
usinunue clone na hazitadumu, na pia hio j1 si simu nzuri, mwaka 2015 sitegemei mtu anunue simu ya android yenye 512mb ram. kama huwezi kuishi bila samsung ongeza hela kidogo tafuta galaxy j2 ni entry level smartphone nzuri.

kuhusu kuijua samsung fake download cpu-z toka playstore kwenye simu unayotaka kuikagua halafu angalia processor yake. samsung original hutumia processor (soc) za qualcomm snapdragon au exynos wakati samsung fake zinatumia mediatek
 
Aksante sana kwa ufafanuzi mzuri
 
Unashauri simu gani kwa mtu mwenye budget ya around 200k zinzopatikana hapa bongo? Chief-Mkwawa
 
Last edited by a moderator:

cheki cheki kaymu huwa kuna deals nzuri zinatokea kwa simu adimu. moto g unazipata around hio bei sema zinakuwa ni zile version za internal 8gb bila memory card. kama hii kwa 270,000
Buy Motorola Moto G - Black | Lowest Price | Kaymu
ina kioo cha hd, camera yake ni 5mp ila inachukua video za hd, ina updates hadi lolipop, processor nzuri, ram 1gb nk.

kwa windows phone zipo lumia 430, 435, 532 unaweza zipata as cheap as 150,000 kaymu,
Buy Nokia Lumia 430 - Black | Lowest Price | Kaymu
sema hio 430/435 ina camera 2mp tu, ila ina ram 1gb na snapdragon 200 processor na internal 8gb

simu nyengine nzuri ni huawei y550 hii ina processor nzuri kuliko zote hapo juu yaani snapdragon 410 na ram 1gb na internal 4gb
Buy Huawei Ascend Y550 - Smartphone - Black | Lowest Price | Kaymu
 
Thank you
 
Back
Top Bottom