Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

How long will Flash survive? - BBC News
0 Reactions
0 Replies
672 Views
Natafuta mobile router ambayo inauwezo wa 3G/4G nipo hapa dsm mwenye kufahamu duka ambalo naweza kupata naomba anijulishe kwasasa ninayo ile ya smile ila vifurushi vyake bei juu sasa natafuta...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wakuu Naomba mnisaidie,nilikuwa natumia whatspp kwnye hii cm yangu na sasa whspp imexpire..sasa kila niki'update inaload tuu,pia nimejaribu ku'unistall whtspp na nikaenda kwenye playstore...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Wanajf, Salaam!! Ninamiliki simu Tecno H6, na mke wangu pia anamiliki tecno H6. Mara ya tatu sasa, baadhi ya namba zilizopo ktk simu yangu zinahamia kwake ktk mazingira ya kutatanisha. Na...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
naomba mnambie software gani ambayo ianaweza kurudisha file zilizofutwa kwenye HDD yangu.
0 Reactions
0 Replies
763 Views
Ndg Wanajamvi, Sijui kama laptop huwa zina housing. Mimi natafuta housing ya Samsung Laptop 16 Inches yenye rangi ya nyeusi. Fundi yeyote aliyo nayo au kama unamjua aliyenayo anitumie picha...
0 Reactions
0 Replies
833 Views
Wajuzi wa mambo nisaidieni hili, Nimeingia facebook sioni maandishi naona picha tuu hata nikijaribu kuandika chochote vinatokea vibox sivielewi! Ni nini hiki?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau kuna simu nilinunua tigo samsung J1 mwezi wa 8 mwaka huu ipo poa sana ila last week-end mtandao wa tigo ulipofail hii simu yangu adi leo siwezi kupiga wala kusms.Nikipiga simu inaandika "not...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Yoyote mwenye kujua vocha za halotel zinapopatikana kwa jiji la dsm naomba atusaidie baadhi ya watu tumekuwa tukijiuliza sana mahala pa kupata vocha.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari yenu wakuu. Ningependa kwenda moja kwa moja kwenye shida yangu. Nataka kudowngrade S4 yangu tajwa hapo juu kutoka lollipo 5.0.1 irudi kwenye kitkat 4.4.2. Shida kubwa ninayopata ni namna...
0 Reactions
1 Replies
901 Views
Once you have finalized on the company for designing your website, there are some aspects which you must take into account. First and foremost, ensure that the company has ample experience and the...
0 Reactions
2 Replies
817 Views
Wakuu habari zenu Kwa wadau wa compyuter security ama yeyote mwenye ufahamu Kama kuna mtu ana ujuzi wa namna ambavyo publick key infrastructure(pki) inafanya kazi kwa mifano hai ya mazingira...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
wakuu nimekutana na hii switch ktk mashine ya kuchana mbao iko kama regulator how it works na installation zake zipo vipi muongozo wadau
0 Reactions
0 Replies
875 Views
Habarini, Simu yangu Samsung Galaxy Note 3, Internal memory yake ina 16GB, Lakini nikiingiza vitu inasema insufienc spac.
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Wakuu, kwa anayefahamu naomba anifahamishe. Mimehangaika sana bila mafanikio.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
nauza iphone 5s 16gb gold 550000
0 Reactions
0 Replies
808 Views
Niko na simu ya iphone nimeuziwa ila kila nikijaribu kuweka laini inagoma imepigwa lock nimeshindwa kutoa
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wakuu, ninasimu tajwa hapo juu, tatizo betri yake kimeo ila naikubali sana nipo tabora, nimetafuta betri yake tabora nzima madukani sijaipata kama kuna mtu anafahamu maduka yawapi...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Imeanza ghafla tu sijui tatizo ni nini? Wapi nitapata msaada line ni ya Airtel
0 Reactions
2 Replies
985 Views
Dfghjjcgy
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…