Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habary, naomba mnisaidie jinsi ya kuunganisha na internent sim yangu samsung note 3 kupitia vodacom nimewapigia voda wanasema sim yang ni clonic/ copy sio orignal wakantumia manual bt still...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Imenitokea, smartphone zote zinazotangazwa katika Tigo smartphone gulio huwa na sehemu ya chip (line) 2, lakini kama ulikuwa ukidhani kuwa utaweza kutumia laini 2 za mitandao tofauti mfano Tigo na...
8 Reactions
114 Replies
45K Views
Jamani wana JF naomba msaada wenu simu yangu kila nikizima data zinajiwasha au kuna nashindwa kuelewa tatizo nini?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nilikua nauliza hizi simu za huawei kua naweza kui update kutoka Jelly bean 4.2.2 kwenda Kit Kat 4.4.2 msaada plz
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wana JF! Naomba msaada wa namna ya kudownload antivirus ya ku-scan smart phone. Simu yangu naona inani-alert kuwa kuna virus kwenye simu.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kama kuna mtu anaijua au anatumia app ambayo ina notes nzur za olevel naombeni anisaidie niidownload. Please
0 Reactions
3 Replies
5K Views
wanajamvi naomba msaada wa kuroot tecno c8 ili niweze kufanya maujanja mengine
0 Reactions
7 Replies
2K Views
ou would think ? Why not install an anti-virus, right? Anti Virus software like ?NQ Security? (that come as a default with Gionee phones) have no idea what is going on and are no good for these...
0 Reactions
5 Replies
9K Views
Wakuu naomba msaada wenu, ni Kamera aina ya canon 600D ina tatizo la kutosoma kadi ( Chip). Ukiiwasha inaonesha 'No Card in Camera'. Mwenye Ufunguzi wa Tatizo hili tafadhali anisaidie
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ntashukuru kwa maelekezo yenu. Naomba kujua jinsi gani na wapi nitadownload PDF ili niweze kusoma vitabu katika simu yangu. Ahsante
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za jioni waungana, Kuna jambo linanitatiza katika ufaham wangu kuhusu huu mzunguko wa hizi sayari Dunia,Jua na Mwezi, watafiti wanasema sayari ya mwezi huizunguka dunia kutoka magharibu...
1 Reactions
16 Replies
13K Views
Naomba kujua ni waya gani unaotumika kuunganisha pc na king'amuzi na unaitwaje?. nataka kuunganisha king'muzi cha startimes.
0 Reactions
7 Replies
11K Views
Security solutions! We provide Car track system, Electric Fence,Security Alarms,Cctv Cameras,Access Control at affordable prices. PM or Email: ejngalewa500@gmail.com
0 Reactions
0 Replies
602 Views
habari wana jf, Natafuta app itakayoniwezesha ku spy text Messages,Calls,WhatsApp n.k kwenye simu yenye Android OS.Nimejaribu kuangalia baadhi ya hizi app nyingi ni za kulipia na chache ni free...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Wakuu mimi nisiwe na maneno mengi ila naomba kusaidiwa kitu hiki, Nina server ya ambayo ina Solaris OS na imewekwa Open Office sasa shida yangu mimi nataka ni install Microsoft Office 2007 sasa...
0 Reactions
1 Replies
839 Views
Kwa wanaohusika na huduma ya search engine optimization seo nina hitaji kuingiza katika SEO maneneo kati ya 30 na 100 kwenye blog yangu naomba kujua Cost zake. Nitajie cost kwa idadi ya maneno...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa mahitaji yako ya template za website za kisasa wasiliana nami. Ninazo website za nyanja zote na kwa mahitaji yote.. Kama ni kwa biashara yako, wewe mwenyewe au saccos yako basi usisite...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni baada ya maadui kulipua bomu na vipande vyenye ncha kali kuruka hovyo vipande vivyo havkuweza haikuweza kuleta madhara baada ya kutua kwenye simu na kuitoboa bila kuleta madhara makubwa kwa...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Wakuu heshima iwe kwenu naombeni msaada kwa anayefahamu jinsi ya kuzifuta hizi divice nilizokuwa nashea file kwenye bluetoth nimejitahidi kuzifuta kwenye list nimeshindwa
0 Reactions
1 Replies
737 Views
msada jinsi ya kuweka ADS katikati ya makala
0 Reactions
1 Replies
923 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…