Wadau naomba anayejua zile code za kuactivate namba isipatikane hewani hata kama umewasha simu...
Kuna uzi niliwahi uona humu miaka ya nyuma nimeshindwa kuupata...
https://youtu.be/PKlxnn1WN68?si=xbESROlkQTJU3OKI
Kupitia ALJAZERA Tv Television nimeona mjadala unaohusiana na kauli & Andiko lililotolewa na Pope Leo kuhusiana na ukuaji na kuenea kwa matumizi...
Angalia hiyo code hapo imeandikwa na Claude AI, ni code ambayo ukiipitia mstari hadi mstari haina shida yoyote na hata ukiirun itafanya kazi vizuri kwa maana lengo la hiyo method litakua linatimia...
Leo tuangazie adui wa maendeleo kwa watu wa rika zote anayejulikana kama aviator na maarufu kwa jina la Kandege. Mchezo huu umegubikwa na siri nyingi sana na ambazo wenye betting sites wamekuwa...
Habari ya wakati
Natumaini tuko salama
Fanya haya ili subwoofer yako na sound system yako idumu kwa muda mrefu
[emoji1314] usichajie simu sehemu ya kuchomeka frash disk
Sababu hi imekua ndio...
Mambo vp wadau,
Nilikuwa natafuta laptop kwa ajili ya kazi ngumu. Kati ya hizi laptop mbili hipi ni bora zaidi.
(a) Lenovo think pad X1 Carbon, yenye 32 GB, generation ya 11.
(b) Hp z book...
Shida ni kwamba hizi kampuni ambazo zinajihusisha na services za home internet zinakuwa kwanza hazisemiukweli interms of amount ya data unayopata, mfano unaweza kulipa unlimited kwa speed kiasi...
Wahitimu wanne wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) wamefanikiwa kubuni gari inayotumia umeme baada ya kusukumwa na udadisi wa kutatua changamoto za usafiri hususani upande wa uchafuzi wa...
Habari wakuu ..!
Msimu ujao wa sikukuu hizi za wakristu na waislamu hasa pasaka, wauzaji na maduka mengi hasa ya simu huwa yanatoa offer kwa bidhaa zao.
Nilikuwa nina mpango wa kuvuta Samsung...
Wakuu kama title inavojieleza, tunahitaji Printer itakayoweza Copying, printing colored na Scanning. Sifa iwe na running costs ndogo japo pia matumizi yetu ni madogo labda ku print Karatasi 10-15...
Hello mambers kama una mfumo , website au App unayo hitaji kuifanyia intergration ya malipo ya moja ya API mojawapo nio itaja hapo juu basi karibu sana
PUSH USSD and automatic payme kwenye site...
Salaam alyeikum wandugu, mimi ni mpenzi wa mziki kiujumla. Niko Mkoa wa Mwanza ,sasa hivi Karibuni nilinunua sound bar ya JBL Wat 500 nimeitumia miezi 8 Tu Ile bar ikawa inakata Moto. Nimeipeleka...
Usije ukadhani haya manguzo yenye nyaya zile nyembaba za ttcl zilizokuwa zinatumika zamani kwenye simu za mezani ni uchafu kwenye miji, nakujuza kwamba hizo nyaya ndizo zilikuwa zinasambaza...
Kama Kuna simu ambayo kampuni ya Samsung bado inawanyima usingizi kwa mwaka 2026 basi Vivo X300 Ultra Toka China.
Kampuni ya vivo imeachia simu Bora nzuri kwenye kila Eneo kwa mwaka 2026, ambayo...
Kwa wale wadukuzi.....
Nmap scan report for 212.7.194.67
Host is up (0.00099s latency).
PORT STATE SERVICE
7/tcp open echo
9/tcp open discard
13/tcp open daytime
21/tcp open...
Habari wa JamiiFirums,
Leo nimejisikia ku-share njia hii rahisi yakupata namba zako zote za simu za zamani zilizopotea au zile ulizofuta kwa bahati mbaya.
Hii ni kwa watumiaji wa facebook tu...
At our firm, we are dedicated to delivering top-tier mobile app and website design services that set you apart in the digital landscape. Our approach blends creativity with technology, ensuring...