Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wakuu nataka kununua simu iphone kupitia mtandao wa ebay, lakin naona simu nyingi wameandika at&t, t-mobile, verizon,nk je nini maana hizo mambo? Zinaongeza au kupunguza nini katika simu? Na...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Wadau naihitaji hii game kwenye simu yangu ss nimepita pita huko torrent ht silioni,,mwenye direct link ya kulidownload bila kulipia anipatie cc CHIEF MKWAWA
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Sina tatizo ila nataka kujifunza tu, hivi ni kwanini ukipiga simu ile H+ pale juu huwa inaondoka na ukikata inarudi tena, kuna uhusiano gani hapo
0 Reactions
5 Replies
946 Views
Naombeni msaada mwenye ujuzi, computer yangu ni HP ProBook 4520 ina miaka 4 sasa toka nilipoinunua ila hivi karibuni imeanza mtindo pale ninapofanya full scan hasa ikifikia asilimia 18 inazima lkn...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Heshima kwenu wadau, nahitaji laptop kwa ajili ya matumizi ya chuo ila sina uzoefu na laptop.Hivyo nakaribisha mawazo ya wataalam. Nimetenga sh 350,000 kwa ajil ya hiyo bidhaa. Naomba kujuzwa ni...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Nifanyaje jmn sim hii ni zte kiss iii max inakuwa over heating nifanyaje jamn
0 Reactions
0 Replies
43K Views
Habari wanajamvi,naomba msaada wa namna ya kutumia uttorent,kudownload software na movie. Natanguliza shukrani
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu tunapenda kuwatangazia kuwa sasa tumetoae ofa maalum kwa wale wote wenye uhitaji huduma zetu,Kama ifuatavyo:- 1.Blog pamoja na adsense account Tsh. 80,000/= 2.Website...
0 Reactions
0 Replies
871 Views
Habari wana-JF. Naombeni msaada namna ya ku-verify account (Personal na Company Page) kwenye Facebook. Natanguliza shukurani za awali.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wanaJF, Ndugu zangu naomba nipate elimu kutoka kwenu kuhusu namna ya kusoma 'Personal Message'.Nikifungua email address yangu, nakuta jamaa au marafiki yangu ananiambia kwamba amenitumia...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
nina iphone 4 hapa imelokiwa mtandao wa canada naomba msaada
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanajf, kama ni fundi wa kutengeneza mashine za kutengeneza mishumaa, naomba uni pm namba yako ili tufanye biashara.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
hey guys, muda si mrefu tutaweza kutumia application za window .exe kwa android phone .apk , hili limekuwa tatizo kwa watu wengi sana ,unakuta application nzuri kwenye computer yako, unatamani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hello GTs, Vibaka wameiba laptop HP 2000 Notebook PC: Serial #: 6CB24539QC; Tukio limeripotiwa polisi kwa namba ifuatayo: TGT/RB/2792/2015; Laptop in PASSWWORD LOCK; Kama ukikutana nayo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamani nina siku 5 sasa sipati na siangalii TV, chaneli zote hakuna. Natumia QSat Q15G kusimbua chaneli muhimu za bongo, kwa sasa dunia imekuwa mbali kwangu. Nijulisheni kulikoni?
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Wana JF, Chini ni mwonekano wa simu ambayo imeathirika na virus, unaweza ukawaondoa manual kwa ktumia software mbali mbali baada ya kuroot simu
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Nilikuwa natumia Window 10 kwenye PC yangu lakini leo nimeweka Window 7. Hivyo PC ipo na window zote mbili Files zangu zote zipo kwenye Window 10, sasa nikitaka laptop itumie Window 7...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Sijajaribu binafsi, ila ingependa kujua kama kuna aliyejaribu na matokeo yake yalikuwaje.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kuna habari kuwa kuna satellite iliyozeeka ya Marekani ambayo inatarajiwa kuanguka kurudi huku duniani kwa mujibu wa NASA. Wanasema saizi yake ni kama basi ambapo inategemewa itaweza kuunguka...
4 Reactions
27 Replies
10K Views
Nilikuwa na mpango wa kununua simu hii, lakini nimeshtushwa na uporomokaji wa bei tokea 240k mpaka 120k! Je simu hii wanaotumia mmeionaje? Betri kimeo nini? Mbona tigo wamezishusha sana...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…