nahitaji kununua power bank, je ni ipi nzuri, portable zaidi na imara? pia nataka kununua betri la iphone 5s je ni aina gani lenye ubora? msaada
ndio zipo zinauzwa ila why isiwe official na iwe brand nyengine?mkuu hata hizo za ndani kwa ndani zipo huuzwa ila sijajua ni brand ipo iko imara
Hivi ni sahihi kutamka "kununua betri la,au aina gani lenye ubora?naomba wajuzi wa lugha saidie.
una maana gani unaposa official?!
tatizo hii haitunzi charge inavyotakikana
Kwa uzoefu wangu power Bank nzuri ni zile ambazo ni branded.
Kwa maoendekezo ni Xiaomi Mi Power Bank ambazo zina capacity kuanzia 5400mAh, 10400mAh hadi 16000mAh.
Kwa upande wa portability Xiaomi wametoa ultra slim power bank yenye milimita 9.9 ambayo itakua rahisi kubeba but ina uwezo wa 5000mAh tu.
Brands nyingine ni EC technologies, Anker na wengineo.
Onyo: Usidanganywe na ukubwa wa mAh au Solar charging capabilities maana hizi ni marketing hypes tu na hazina uhalisia
inamaana apple kumbe hutengeneza betri kwa ajiri ya repair?!