Naona kama hujaliweka vizuri swali lako. Lakini ni kweli kuwa Microsoft na Nokia walikuwa na partnership iliyofanywa na Stephen Elop ambaye alikuwa CEO mpya wa Nokia. Na nokia ililazimika kuingia kwenye partnership kutokana na Symbian, ambayo ilikuwa ni Operating System ya simu za nokia kuwa outdated baadaya OS competitive kama iOS na Android kuingia kwenye soko la Simu.
Katika mkataba wao Nokia alifanya kazi nzuri katika kuitengenezea Microsoft mazingira mazuri ya kibiashara na kuweza kutengeneza simu zenye feature na ubunifu unique. Simu hizo zilirun Microsoft Windows Phone OS na zilitumia codename ya Lumia. Kwa kipindi chote cha mkataba wao Nokia walitengeneza simu nyingi zilizojipatia umaarufu mkubwa kama vile. Lumia 520