Application gani ya simu ina uwezo wa kudetect camera za police?

Application gani ya simu ina uwezo wa kudetect camera za police?

johntemba

Member
Joined
Oct 14, 2011
Posts
27
Reaction score
1
Wakuu application gani ya simu itakayoweza kudetect camera za police?

Please help if possible..

Nawasilisha.
 
Camera ziko tena wazi tu
Vibao njiani vinavyonyesha speed ya kutembea 50 80, nk ni Mashine ya kudetect askari popote walipo
Mwendo mkali ni Hatari, kuwa mwangalifu
 
Back
Top Bottom