kijumbamshale
JF-Expert Member
- Apr 27, 2011
- 267
- 88
Waungwana habari za uhuru/usafi day, kutokana na network zisizoeleweka nimekuwa nikidownload videos kutoka youtube kwa ajili ya kuziangalia ninapopata muda. Nimejaribu kuzitafuta kwenye simu sijazipata lakini ukienda youtube unazikuta na zinastream vizuri tu hata kama net ni dhaifu sana sasa nikawa najiuliza hizi videos zinakuwa saved wapi for later use? Wataalamu tusaidiane