Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 14,195
- 40,626
Wakuu nadhani kuna wenzangu humu mnatumia zile night packs hasa kwa downloading ya vitu vikubwa kutokana na gharama za internet kuwa juu na bundles kuwa ndogo.
Katika pita pita zangu humu kwa kipindi kisichozidi wiki 2 niliona thread inasema tigo wamebadilisha kile kifurushi cha 15 GB usiku na kuweka 5 GB (nlihakiki kwa kujaribu kununa kifurushi hicho na kukuta GB zimepungua) .
Baadaye nikaona thread mpya inasema tigo wamesikia kilio cha wateja wao na kukirudhisha kweli jana nilijaribu kununa na kukuta kipo, leo nikafanikiwa kununua vocha na kujaribu kununua nikakuta kimepungua tena na kuwa 5GB.
Sasa huu ni ungwana kweli kwa nini msiwe na vifurushi vinavyoeleweka ?...kuanzia leo no more tigo ngoja niingie mtaani na mimi nikatafute mtandao nafuu:angry::angry::angry: