AgentX
JF-Expert Member
- Mar 7, 2015
- 1,651
- 1,700
Kuna wimbi kubwa la ku hack account za Instagram kwa watu wenye followers wengi. (Hadi celebrities wakti mwingine) je nini husababisha. Na nini kifanyike kuepusha wimbi hili linaloshamiri kwa sasa. Je ni hatua zipi madhubuti ktk ku recover hacked Instagram accounts. Nauliza hivyo kwani njia ya instagram kwa ku report tatizo huchukua mda mrefu na haisaidii ktk kurejesha umiliki wa hacked account kwa yule mmiliki halali.
Natanguliza shukrani wakuu
Natanguliza shukrani wakuu